TANGA HABARI
Kufa kwa dhamiri ya mtu ndiyo chanzo cha mahasi,ghasia na matendo ya kinyama yanayo endelea duniani bali ni kuzishika na kuzihishi ambri za mungu diyo jibu ya yote.
Amebainisha hayo mkurugenzi wa miito wa jimbo katoliki la tanga na paroko masaidi wa parokia ya mtakatifu anthoni wa padua padre saimoni chakusaga alipo ongea na mwandishi wetu.
Amesema kutokana na hali ya machafuko,ghasia na matendo la kinyama yanayoendelea hapa Tanzania na duniani kote kuna changiwa na kufa kwa dhamiri ya mtu ndiyo inamfanya mtu kufanya mahasi na maangamizi pasipo kuogopa mtu yoyote bali ni kulifanikisha jambo lake kwa tamaa za mwili na kujipatia fedha au mali kwa kudhurumu uhai wa mtu.
Padre chakusaga amesema “dhamiri ni sauti ya mungu ndani ya mwanadamu ambayo inatoa katazo kwa mtu kutokutenda jambo baya” sauti hii ya mungu ndiyo tunu ya pekee ambayo tumepatiwa na mungu muumba tangu kuubwa kwa binadamu hii ndiyo inayo chochea nguvu mpya katika kujua mema na mabaya siku baada ya siku kwahiyo basi kukiwa na kudi lenye kukosa hiyo sauti ya mungu inasababisha na kusukuma watu kutenda mambo ambayo kinyume cha maadiri ya mwanadamu na siyo makusudi ya mungu.
Kwa mfano kuliwahi kutokea tukio la mzazi mmoja kumfungia mototo mlemavu kwenye box kwa muda mrefu basipo kujari ubinadamu wa mtu huyo na yule anayesababisha kuhutoa uhai wa mwingine kwaajiri ya mali yote hiyo ni moja ya picha ya ukosefu wa dhamiri iliyo hai kwa mwanadamu wa sasa.
Hata hivyo padre huyo amekemea wale watu waliyo na ubinafsi wa kujilimbikizia mali hata muda mwingine hutumia nguzu za kusipata hizo mali ”hii hali ya kuwa na ubinafsi wa kukumbatia na kukusanya mali kwa kutumia mabavu inasababisa ongezeko la machafuko dani ya jamii bali ni kusikilia ambri za mungu ambazo zinashikiria upendo wa kimungu na wanadamu kwakuzihishi kwa kadiri ya ambri ya kwanza hadi ya mwisho.
Vile vile padre huyo amewataka viongozi wa dini zote,walimu wa dini kwa kushirikiana na wazazi basipo kuogopa vitisho na msukumbo wa mapindizi ya utandawazi bali kuunda,kuibua upya dhamira ya kumuogopa mungu kwa watoto kwani hii ndiyo dawa ya pekee katika kujenga kizaji chenye hofu ya mungu kwa kufanya hivyo inaibua matumaini mapya ya upendo wa kweli na kuwapenda wengine. Kwa kupitia mafundisho ya imani ambayo yafundiswa kwa watoto itasaidia jamii na taifa kutokutenda dhambi ambayo nichanzo mipaka ya mungu.
Kwa upande wa mzazi na mlezi fredy staley mkazi wa mapindizi wilaya ya Tanga amesema tamaa za mali na kutaka utajiri mapema inawafanya watu kujiingiza katika vitendo vya kinyama kwa kupoteza uhai wa mwengine bali kushurikiana kwa kila jambo kwa umoja na upendo.“Kila mtu kwa dini yake anapaswa kushiriki katika yumba za ibada ilikupata nguvu mpya zakuyashida majaribu ya shetani ambayo inamsukuma mtu kuua mwenzake au kuwabaka watoto na walemavu kwani matendo hayo yanamchukiza mungu”. Alisema.
Sambamba na hilo mwenyekiti wa mtaa wa mwakizaro B kata ya duga wilaya ya Tanga bi felista ferix haule amesema jamii ya sasa inashidwa kutambua hutu wa mwanadamu diyo maana vitendo vya kinyama na maovu yanazidi kuongezeka kwani baadhi ya watanzania wanajijali nafsi zao kuliko wengine. “kwa hali ya sasa imekuwangumu kwani kuna baadi ya watu wenyenia mbaya katika maeneo ya kijamii na kutekeleza mambo ya uvunjifu wa amani kwa malengo yao kujipatia mali” alisema bali cha kufanya ni kutii mamlaka ya nchi na kumuogopa mungu itasaidia sana kutokomeza yale yote ambayo yanaenda kinyume na maadili ya mungu na kila mtu anatakiwa kulinda amani na umoja wa watanzania.



