Recent News

BLOG BADO IPO KWENYE MATENGENEZO

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, October 23, 2016

TENGENEZA MILION 5 KWA KUTUMIA SIMU YAKO NDAN YA WECARE WECAN, TOA NAMBA YAKO UPATE MAELEKEZO



🌳 ​KARIBU KATIKA FURSA YA WE CARE WE CAN​
Soma maelezo haya kwa umakini kama kuna mahali haujaelewa au una swali uliza utajibiwa kwa umakini wa hali ya juu. Hii fursa imeanzishwa 22/8/2016 nchini Marekani na mwanzilishi ni saetern. Lengo la kuanzishwa kwa mfumo huu ni kusaidiana kwa jamii husika. Gharama za kujiunga na mfumo huuu ni shlng elfu 20000/= tu. Wewe utakapoungwa tu unanza kuwa mwanachama na unaruhusiwa kuwaunga watu 2 tu na kila mmoja wapo atakupatia shilingi elfu 20,000/= tu ili umuunganishe kuwa mwanachama wa WE CARE WE CAN.

Monday, February 1, 2016

DOWNLOAD NEW AGE REGISLATION FORM BOTH FORM FOUR AND FORM SIX


DOWNLOAD HERE...


http://docs.google.com/uc?export=download&id=0B3IgDQwS38IjTmtLaTdPc2pxYVU DOWNLOAD MANFONGO...

DOWNLOAD NEW AGE REGISLATION FORM BOTH FORM FOUR AND FORM SIX


DOWNLOAD HERE...


http://docs.google.com/uc?export=download&id=0B3IgDQwS38IjTmtLaTdPc2pxYVU https://drive.google.com/file/d/0B3IgDQwS38IjM3hyczdRYm9TcjQ/view?usp=sharing

Sunday, January 10, 2016

KUFA KWA DHAMIRA YA MTU NDIO CHANZO CHA MAHASI,GHASIA NA MATENDO YA KINYAMA YANAYO ENDELEA DUNIANI.

TANGA HABARI
Kufa kwa dhamiri ya mtu ndiyo chanzo cha mahasi,ghasia na matendo ya kinyama yanayo endelea duniani bali ni kuzishika na kuzihishi ambri za mungu diyo jibu ya yote.
Amebainisha hayo mkurugenzi wa miito wa jimbo katoliki la tanga na paroko masaidi wa parokia ya mtakatifu anthoni wa padua padre saimoni chakusaga alipo ongea na mwandishi wetu.
Amesema kutokana na hali ya machafuko,ghasia na matendo la kinyama  yanayoendelea hapa Tanzania na duniani kote kuna changiwa na kufa kwa dhamiri ya mtu ndiyo inamfanya mtu kufanya mahasi na maangamizi pasipo kuogopa mtu yoyote bali ni kulifanikisha jambo lake kwa tamaa za mwili na kujipatia fedha au mali kwa kudhurumu uhai wa mtu.
Padre chakusaga amesema “dhamiri ni sauti ya mungu ndani ya mwanadamu ambayo inatoa katazo kwa mtu kutokutenda jambo baya” sauti hii ya mungu ndiyo tunu ya pekee ambayo tumepatiwa na mungu muumba tangu kuubwa kwa binadamu hii ndiyo inayo chochea nguvu mpya katika kujua mema na mabaya siku baada ya siku kwahiyo basi kukiwa na kudi lenye kukosa hiyo sauti ya mungu inasababisha na kusukuma watu kutenda mambo ambayo kinyume cha maadiri ya mwanadamu na siyo makusudi ya mungu.
Kwa mfano kuliwahi kutokea tukio la mzazi mmoja kumfungia mototo mlemavu  kwenye box kwa muda mrefu basipo kujari ubinadamu wa mtu huyo  na yule anayesababisha kuhutoa uhai wa mwingine kwaajiri ya mali yote hiyo ni moja ya picha ya ukosefu wa dhamiri iliyo hai kwa mwanadamu wa sasa.
Hata hivyo padre huyo amekemea wale watu waliyo na ubinafsi wa kujilimbikizia mali hata muda mwingine hutumia nguzu za kusipata hizo mali ”hii hali ya kuwa na ubinafsi wa kukumbatia na kukusanya mali kwa kutumia mabavu inasababisa ongezeko la machafuko dani ya jamii bali ni kusikilia ambri za mungu ambazo zinashikiria upendo wa kimungu na wanadamu kwakuzihishi kwa kadiri ya ambri ya kwanza hadi ya mwisho.
Vile vile padre huyo amewataka viongozi wa dini zote,walimu wa dini  kwa kushirikiana na wazazi basipo kuogopa vitisho na msukumbo wa mapindizi ya utandawazi bali kuunda,kuibua upya dhamira ya kumuogopa mungu kwa watoto kwani hii ndiyo dawa ya pekee katika kujenga kizaji chenye hofu ya mungu  kwa kufanya hivyo inaibua matumaini mapya ya  upendo wa kweli na kuwapenda wengine. Kwa kupitia mafundisho ya imani ambayo yafundiswa kwa watoto itasaidia jamii na taifa kutokutenda dhambi ambayo nichanzo mipaka ya mungu.
Kwa upande wa mzazi na mlezi fredy staley mkazi wa mapindizi wilaya ya Tanga amesema tamaa za mali na kutaka utajiri  mapema inawafanya watu kujiingiza katika vitendo vya kinyama kwa kupoteza uhai wa mwengine bali kushurikiana kwa kila jambo kwa umoja na upendo.“Kila mtu kwa dini yake anapaswa kushiriki katika yumba za ibada ilikupata nguvu mpya zakuyashida majaribu ya shetani ambayo inamsukuma mtu kuua mwenzake au kuwabaka watoto na walemavu kwani matendo hayo yanamchukiza mungu”. Alisema.
Sambamba na hilo mwenyekiti wa mtaa wa mwakizaro B kata ya duga wilaya ya Tanga bi felista ferix haule amesema jamii ya sasa inashidwa kutambua hutu wa mwanadamu diyo maana vitendo vya kinyama na maovu yanazidi kuongezeka kwani baadhi ya watanzania wanajijali nafsi zao kuliko wengine. “kwa hali ya sasa imekuwangumu kwani kuna baadi ya watu wenyenia mbaya katika maeneo ya kijamii na kutekeleza mambo ya uvunjifu wa amani kwa malengo yao kujipatia mali” alisema  bali cha kufanya ni kutii mamlaka ya nchi na kumuogopa mungu itasaidia sana kutokomeza yale yote ambayo yanaenda kinyume na maadili ya mungu na kila mtu anatakiwa kulinda amani na umoja wa watanzania.